babuukikolo
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 144
- 164
Habarini za mchana wandugu,
Ninaomba msaada kati ya brevis na subaru legacy wagon ipi ambayo ipo cheaper interms of running costs? Mimi ni mgeni kwenye mambo haya, that is why naomba ushauri kwa ambao wameshamiliki subaru maana nimeambiwa brevis tatizo lake kubwa ni ulaji wa mafuta.
Shukrani!