Msaada kati ya subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis ya 2007

Msaada kati ya subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis ya 2007

Mndengereko One

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
340
Reaction score
243
Wakubwa naitaji kumiliki gari moja wapo kati ya hizi Subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis 2007 je, Ipi inanifaa zaidi ikizingatiwa ndo mara ya kwanza kutaka kumiliki gari?

Nilitaka kujua kuhusu ubora ,gharama ya vifaa

1603013871720.png

Subaru Forester 2005

1603014015259.png

Nissan Dualis 2007
 
Zote mikwaju kama una hela ya kununua hizo hutakosa hela ya kuzihudumia, mambo ya kuzoea gari sijui nini ni fikra tu za mazoea.

NB: Sina gari ila mfuatiliaje na nikupe hongera kwa kutaka kumiliki mkoko ukishanunua kuna ndugu yangu ana leseni hana kazi tunaomba umpe kazi ya kukuendesha.
 
Hahaaa

hahaha man una majibu meusi kama vile unamjua mtoa post.
huelezei in details why hizo gari zote hazifai.
nn tofauti na changamoto zake
Hilo swali ni la mtu ambaye ana leseni ya daraja moja tu 😝😝😝🤓🤓🤓 sasa subaru sijui na gari gani hizo zote zitamsumbua bila shaka! Anunue IST azoee gari kwanza maana kuanza na spear za laki 2/2 anaweza akaichukia gari
 
Back
Top Bottom