Msaada kati ya subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis ya 2007

Mndengereko One

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
340
Reaction score
243
Wakubwa naitaji kumiliki gari moja wapo kati ya hizi Subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis 2007 je, Ipi inanifaa zaidi ikizingatiwa ndo mara ya kwanza kutaka kumiliki gari?

Nilitaka kujua kuhusu ubora ,gharama ya vifaa



Subaru Forester 2005


Nissan Dualis 2007
 
Zote mikwaju kama una hela ya kununua hizo hutakosa hela ya kuzihudumia, mambo ya kuzoea gari sijui nini ni fikra tu za mazoea.

NB: Sina gari ila mfuatiliaje na nikupe hongera kwa kutaka kumiliki mkoko ukishanunua kuna ndugu yangu ana leseni hana kazi tunaomba umpe kazi ya kukuendesha.
 
Hahaaa
 
hahaha man una majibu meusi kama vile unamjua mtoa post.
huelezei in details why hizo gari zote hazifai.
nn tofauti na changamoto zake
Hilo swali ni la mtu ambaye ana leseni ya daraja moja tu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€“πŸ€“πŸ€“ sasa subaru sijui na gari gani hizo zote zitamsumbua bila shaka! Anunue IST azoee gari kwanza maana kuanza na spear za laki 2/2 anaweza akaichukia gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…