Wakubwa naitaji kumiliki gari moja wapo kati ya hizi Subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis 2007 je, Ipi inanifaa zaidi ikizingatiwa ndo mara ya kwanza kutaka kumiliki gari?
Nilitaka kujua kuhusu ubora ,gharama ya vifaa
View attachment 1603915
Subaru Forester 2005
View attachment 1603916
Nissan Dualis 2007