Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Ushauri wako kiongozi TV gani yenye unafuu hasa hizi kichina?Zote mbovu. Jinsi siku zinavyozidi kwenda mbele ndio utaona picha zinavyofifia. Baada ya mwaka mmoja ndio utaanza kuona matokeo yake.
Nakushauri tafuta Soy Tv hizi za Kikorea ni nzuri sana hasa yenye protector.Duh! Ushauri wako kiongozi tv gani yenye unafuu hasa hizi kichina?
Asante mkuu nafanyia kazi ushauri wako hasa kujipanga upya kibajetiNakushauri tafuta Soy Tv hizi za Kikorea ni nzuri sana hasa yenye protector.
Chukua TCL and thank me later!Duh! Ushauri wako kiongozi tv gani yenye unafuu hasa hizi kichina?
Thanks mkuu ntafuata ushauri wakoChukua TCL and thank me later!
😂 😂 😂 😂Famba vs Famba
Hapo umenena, nakuunga mkono na mguuChukua TCL and thank me later!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo nkuuzie LG 45 kwa 1.4M .bado ipo vzuri haina shida
LG nimeitoa kulingana na bajeti yangu, before nilikuwa nayo LG 32 iliungua taa nimempa fundi uchwara kahalibu kabisa sasa madogo janja wanachezea Kama toy.Njoo nkuuzie LG 45 kwa 1.4M .bado ipo vzuri haina shida
LG inchi 45? hii itakuwa ya msumbiji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
LG nchi 45 wewe umeitoa wapi?
Lakini pia ukienda dukani LG nchi 43 ni 1.05 M na nchi 49 ni 1.45 M
Mbona unataka kumuingiza mwenzio cha kike?
Shukrani kiongozi kwa ushauri ambao unaendana na experience ya hizo brand tofauti. According to my budget let me buy Hisence. Nitaleta mrejeshoChukua Hisense hakikisha unanunua kwa Wakala wa Hisense na sio
duka la ma tv ya kila Brand,nenda kwa Dealer kabisa wa Hisense ambapo
ukiingia utakuta tv hisense,friji,pasi,radio,simu,nk yani kila kifaa cha hisense
utakikuta hapo,Nunua TV yako ORIGINAL duka la namna hiyo utapewa Warranty Card 2yrs
Ondoka NA tv Yako katumie,nina uhakika kama huna nyota ya bundi utadumu na hiyo TV sana.
Nimekushauri hivyo kwasbabu nina mabanda ya TV nimenunua Flat TV zaidi ya 10 katka zile TV zote
5 zilikua brand uchwara,soyi,LG copy,Samsung copy,blackstone,nk ila ninavyoandika hapa TV zote
zimeshaenda kw fundi kwa matatizo ya hapa na pale,ila Hisense tangu nizitundike zilipo hazijawahi
kuguswa mpk ukichungulia kwa nyuma ya tv kuna Vumbi 1 takatifu,ila zipo pale safi kbsa mwaka wa 4 huu.
AiseeeeFamba vs Famba