utemi Senior Member Joined Mar 27, 2011 Posts 167 Reaction score 23 Jun 20, 2012 #1 Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi soft copy ya katiba ya RAAWU (The Researchers, Academicians and Allied Workers Union). anomba anisaidie.
Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi soft copy ya katiba ya RAAWU (The Researchers, Academicians and Allied Workers Union). anomba anisaidie.
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Nov 9, 2017 #3 Hapa Nimetoka Kapa Aitheeee Kiviere Wa Usangi
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,981 Reaction score 3,604 Apr 30, 2022 #4 Hii katiba mkuu umeipata???? Siamini nachangia uzi wa miaka 10 nyuma na nashika nafasi ya 3. Maisha ni fumbo amini hivyo 2035 nitakuwa mbunge wa kuchaguliwa na wananchi. [emoji288][emoji288]
Hii katiba mkuu umeipata???? Siamini nachangia uzi wa miaka 10 nyuma na nashika nafasi ya 3. Maisha ni fumbo amini hivyo 2035 nitakuwa mbunge wa kuchaguliwa na wananchi. [emoji288][emoji288]
Mr Spider JF-Expert Member Joined Feb 28, 2020 Posts 1,773 Reaction score 3,201 Apr 30, 2022 #5 Duuu, RAAWU ndo watu gani hawa?