ABUBAKARY Barnabas
Member
- Nov 14, 2023
- 71
- 53
Ndugu watanzania naombeni mnisaddie jambo nimeomba Award Verification Number nikapewa muda kisha sikupewa nika update tena zaidi ya mara moja na jina langu lipo verified.
Naombeni ushauri kwa wanaojua jua?
Naombeni ushauri kwa wanaojua jua?