Msaada katika gharama za utengenezaji

Tareman

Member
Joined
Jun 3, 2019
Posts
53
Reaction score
33
Habari. Naombeni msaada wa gharama ya hilo gari ni shilingi ngapi?

 
Wapelekee TTR group kule mikochen wpo vzr sana, apo bei maelewano too
 
Dahhh....
Haya mambo yana huzinisha sana kama member karibia wote wanamiliki vyua, then mie mzee baba namiliki empty bottles za tbl tupu...
 
Andaa 200 to 300wanayoosha na rangi ila ukienda kwa mchina hapo si chini ya 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…