Msaada katika hili jamani!!!!

Msaada katika hili jamani!!!!

Obeth Marco

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Nimemwombea mdowangu nafasi ya kujiunga na certificate ya medical asistance kama ilivyokuwa imetangazwa na wizara ya afya, lakini nashangaa mpaka sasa post hazijatoka xo sielew serikari imeahirisha kuchukuwa watu wa fani hiyo au? msaada katika hili jamani!!!!
 
mkuu....vuta subira tu. mambo yote uatakuwa waz mda ukfika.
 
Back
Top Bottom