Habari zenu wakuu,kuna jirani yangu jamani anatatizo la maralia na kila wakati akienda hosptal anapewa dawa au anaandikiwa sindano na anapona kabisa ila utashangaa imepita wiki anaugua tena maralia tena kali sana..sasa ni dawa ipi atumie jamani mana sasa imekuwa kama maralia sugu....kwa sasa dawa anazotumia sana ni dawa mseto,net anatumia usafi wa kuzunga nyumba ni wa kutosha sasa tatizo ni nini jamani? natanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu.