msaada katika hili la lugha

kingjura

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
14
Reaction score
0
hivi jamani naomba nisaidiwe napata shida katika namna itumikayo sasa kusahihisha mitihani uhusuyo masomo ya lugha je ni sahihi kusahihisha jibu tu? au pengine kufuatilia neno kwa neno ili kuchunguza mantiki ya lugha ilotumika na pengine hata kukosoa kwa lengo la kufundisha? okoa mimi katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…