Msaada katika hili

Msaada katika hili

Fraddle b

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
222
Reaction score
20
Jamani naomba msaada kuhusu wachezaji wafuatao nani zaidi, MBWANA SAMATA,na EMANUEL OKWI
Tukiacha interest zetu za ushabiki
 
wanachezea nchi na mchezo gani mkuu?
 
Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba.

Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu.

Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba.
 
lakini hawa wote walikua simba,sema samata alienda tp mazembe mwaka jana mkuu
 
Mi ni shabiki wa Yanga,na kwa mtazamo wangu naona Okwi yupo juu
 
Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba.

Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu.

Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba.

hilo ndio jibu sahihi na safari TP Mazembe lazima wachukue kombe la klabu bora duniani..
 
kumbe wewe unajua kabisa samata yupo juu ila unataka kujihakikishia miwazo yako dhidi yake..

hapana kuna mambo yanachanganya watu wanasema okwi ni bonge la mchezaj tz,lakini huyu dogo nae wanasema ni bonge la mchezaji,so huwa sina jibu la 1 kwa 1 kuhusu tofauti zao
 
Back
Top Bottom