Msaada katika hili

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
U T I ni ugonjwa unaosababishwa na nini? Dalili zake? Unaambukiza? Matibabu yake?
 
Mimi Sio dr lkn ntakusaidia kwa jinsi ninavyojua UTI husababiswa na uchafu wa nguo za ndani,maji tunayooga kwann
maji ya kunywa tunachemsha kuua bkteria yakuoga je? Wadudu wanaangia kuptia njia ya mkojo sasa usije kuuliza

kwann watu hawapat u.t.i kwa kuoga maji haya!?
Kwa wanawake nao wanapojisaidia haja ndogo, mkojo unapogonga chini na kurudi juu!
Maji tunayojitawaza yakigusa kwenye uume/uke
wale wanofanya ngono kinyume na maumbile

kitu kingine MAJI ya kunywa hapa ndo wengi tunapo feli kunywa maji wengi hatumywi hasa kipindi cha baridi unakuta mtu anakwambia siposikia kiu hata wiki anakaa! Wengine maji ya kunywa ni soda

sasa hayo yote tutayakwepa kunywa maji sana maji hakikisha kwa siku hata lita 4

Achana na dhana ya primary eti wakati jua kali mkojo wa njano na wakati wa baridi mkojo mweupe kama maji!!

na dalili zake ni homa kukojoa mkojo unawasha
kukojoa mara kwa mara!
 
Dalili zake kuwashwa sehemu za siri maumivu makali wakati wa kukojoa, smtimes maumivu ya tumbo la chini ni hayo 2 nayoyajua
 
Af jichunguze mwenyewe ukikojoa mkojo wa njano utaona maumivu na ukikojoa mweupe utaona afadhali sasa wewe utaamua unywe maji ama usinywe!!

Maana hao bktria wote wanoingia kwanjia tofauti tofauti wote wanatoka
kwa kukojoa mara kwa mara
hakikisha unkunywa maji kama kanuni sio tu mapaka usikie kiu!!!
mwisho namalizia
nilimwa UTI nikapewa dawa ikafeli nilichofanya ni kunywa limao

yaani kata limao vpande 2 au zaid
maji lita 1 au zaidi lakini uchachu wa liomao uonekane
kamulia kwenye jagi
kunywa taratibu lakini tu utakapokuwa umemaliza kula na unakunywa anaangalia tv unajiandaa kulala matokeo baada ya siku 2


sijui kama nimekusaidia kama kuna sehmu pana utata niulize coz nipo job naandika huku naachilia achlia
mimi sio dr! Nimekujib kutokana na nilivyojitibu mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…