Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji anaelipwa pesa nyingi ni Samuel Eto'o aliesajiliwa na timu ya kichovu ya Urusi Anzhi Makhachkala.....analipwa mnyamwezi 500,000 kwa wiki babake....Wanajf, pole sana na pilikapilika za sikukuu. Naomba mwenye ufuatiliaji mzuri wa soka la ulaya anisaidie mchezaji gani analipwa fedha nyingi ulaya kwa wiki, na ni shilingi ngapi katika fedha za kiTanzania?