Msaada katika soka

kagarara

Senior Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
118
Reaction score
9
Wanajf, pole sana na pilikapilika za sikukuu. Naomba mwenye ufuatiliaji mzuri wa soka la ulaya anisaidie mchezaji gani analipwa fedha nyingi ulaya kwa wiki, na ni shilingi ngapi katika fedha za kiTanzania?
 
Mchezaji anaelipwa pesa nyingi ni Samuel Eto'o aliesajiliwa na timu ya kichovu ya Urusi Anzhi Makhachkala.....analipwa mnyamwezi 500,000 kwa wiki babake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…