Msaada kazi ubalozi wa canada

SAMJM

Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
5
Reaction score
0
JAMANI KWA YEYOTE ALIYE APPLY KAZI UBALOZI WA KANADA NAOMBA MSAADA JINSI YA KU APPLY MANAKE WAMESEMA
HII NDO JISI YA KUAPLAI

Application Instructions:

Please send electronically your CV, two (2) references and a brief letter describing how you meet the screening requirements for this position to: dslam-job@international.gc.ca.

Applications sent by mail or in person will not be accepted.

HAPA SIJAWAELEWA NAOMBA MSAADA
 
tuma hizo decument wanazozihitaji kwa email waliyotoa usitume kwa posta au kupeleka kwa mkono
 
kuna watu vilaza kweli sijui wamesoma wapi na huko shuleni wamejifunza nini manake taarifa iko wazi wao wanauliza!
au alitaka kutuma kwa njia alizokariri hajaona postal address so amechanganyikiwa!!!
Au ndo hawa hawa akina Mulugo?
 
Unaweza ukawa umesoma ila ukawa haujaelimika na maneno yako yanaonyesha hivyo mtoa maada kauliza vizuri mjibu vizuri na huo ndio ustaarabu unaofundishwa mashuleni personality, and Attitude wewe umekosa hayo
 
Pole kumbe kilaza mwenzako mimi hai-make semse taarifa iliyopo waziunauliza, inaelekea hata kazi zake atakuwa anauliza apewe maelezo...
But siwalaumu ndio matokeo ya kusoma kwa kukariri huko
 
Unaweza ukawa umesoma ila ukawa haujaelimika na maneno yako yanaonyesha hivyo mtoa maada kauliza vizuri mjibu vizuri na huo ndio ustaarabu unaofundishwa mashuleni personality, and Attitude wewe umekosa hayo
Cha kuuliza hapo ni kipi? watu wa aina hii wapo wengi na hujidai wajuwaji sana kwa kawaida.
 
Cha kuuliza hapo ni kipi? watu wa aina hii wapo wengi na hujidai wajuwaji sana kwa kawaida.

Ukisoma fasta inachanganya, amepitiwa kidogo kwa kushindwa kutofautisha kati ya E-Mail na Mail
Manake wametoa E-Mail address af wakaandika kuwa any applications sent by Mail will not be accepted (Mail = barua ambazo hutumwa kwa njia ya posta)..
Ni mambo madogo tu ya kuelekezana, nadhani angekuwa ameelewa asingeuliza.
 
Applications sent by mail or in person will not be accepted.

Someni vizuri hii statement, mtaelewa huyu ndugu anachokiuliza.
 
Mimi nadhani huyo ndugu yupo sahihi hakuna njia ya kutuma hiyo application maana wanasema "Applications sent by mail or in person will not be accepted" na huku hawajatoa sanduku la posta ili watu watumie posta
 
hata wewe haujaelewa,,,, ni hivi hao wanataka application isitumwe kwa email ya kawaida wala posta isipokuwa uitume kwa kupitia outlook link...achen kumdanganya mwenzenu..kama haujui kaa kimya
 
Mkuu hayuou sahihi na wewe haujaelewa vile vile, tangazo linasema send electronically na wakakupa address ya electronic mail, na hiyo iliyosema sent by mail wanamaanisha kutuma kupitia posta, zaidi e mail na mail vitu viwili tofauti sawa na kusema e-commerce na commerce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…