Habari za mchana wana jf ! Nimekuja kwenu naomba mwenye utalaam anishauri ,, Tatzo langu ni DUDU kuuma has a napomaliza faragha na nikitoka kukojoa , inauma ndani kwene njia ya kutolea mkojo na maziwa meupe,,nimeenda kumwona doctor na kufanya vipimo lakin inaonesha hakuna tatizo lolote.
Lakin pia she wangu alikua analalamika kumwa na baada ya vipimo alionekana ana UTI sugu, baada ya hilo nikahisi nami itakua hiyo kumbe siyo,, naomben mwenye kujua hili tafadharin,
She wangu kesha pata matibabu na sijaenda nae faragha tena. Asanten!