Msaada kiasi

huyo jamaa mchane makavu tu, kama yeye ameshindwa kuwa mstaarabu anakusema vibaya kwa majirani haina haja ya kumfanyia ustaarabu, mwambie aondoke kama unaogopa mpe kisingizio umepatwa na emergency unataka uondoke

hivi hili neno " njaro" maana yake ni nini?
 
Thanks real G.

Njaro =swagger.
 
Mwambie umechoshwa na drama zake! au mfukuze kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…