Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;
...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.
Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?
kiatu have the sole, sole is the mhimili pale unapokivaa. Hivyo hapo ugenini, hukumuimarishia mwanao mustakbali/mhimili uliyo mzuri kufikia hadi kuharibika (mwba ni vitu vinavyoharibu mustakbali mzuri wa mwanao). Kwa vile ww ni baba, na uko responsible juu ya mwanao, anza kurekebisha ya mwanao then ndo ufanye ya kwako.
Usingizi ukiniishia nitarudi tena ila hapa namuona afrodenzi kaniwekea mguu juu, sijuwi ndo ananitega. Subiri nimuambie ageuke kwa huku....
Dahhh
nway hamna mawe hapo?
Hahahahahah lol! miye ningelala naye mbele mpaka kieleweke! Huyo Mbwa koko katumwa kwenda kumuadhiri Mbu?
Dahhh
nway hamna mawe hapo?
Mbu unavaa kiatu saizi gani? Na mwanao je?Kina mama hebu muulizeni Mbu anavaa kiatu saizi gani na mwanae saizi gani,maana tukiuliza sisi kinababa noma.
Ningependa kujua kiatu kilitengenezwa wapi, na kama kimefanyiwa madoido yanayomvutia mbwa koko kukimeza,Mbu bora usijisumbue kutafuta. Unaweza ukakuta huyo mbwa koko kakimeza.
Ahaa ahaaa ahaaa lolKwani Mbu mwanao ana umri gani na kiatu chake ni size gani?.....nakushauri anza kuhangaikia kiatu chako wewe kwani hutowezapata kingine na mwanao kama ni mkubwa ahangaikie chake............................hapa nakunong'oneza tu.....angalia hilo jibwa lisijekwapua na cha Baba.................
Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;
...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.
Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?