Msaada kidogo wa kisheria

Msaada kidogo wa kisheria

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
1,830
Reaction score
8,636
Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,

Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
 
Ndio, nilifanya TU kwa kumwamini , since alionekana ni inocent!!!
 
Ulipaswa kuomba msaada wa kisheria kabla ya kumuuzia..
 
Jamni, Is there any how naweza pata ushauri wa nafanya nini even if ni toolate

Tafuta mwanasheria now wa uhakika umuoneshe huo mkataba wa mauziano
anza hapo
 
Hapana sidhani kama ameshafanya ivyo!!!
 
Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,

Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
Ni wakili ukinilipa vizuri gari yakau pesa zako zinarudi on the sport
 
We Wakili Roll No. ngapi? Tuanzie hapo.
Na kama we wakili kweli...na doubt competency na integrity yako ktk taaluma ya sheria.

Kingine nxt time jifunze kutofautisha kati ya SPOT na SPORT.
acheni kudhalilisha taaluma nyie vilaza
Nililaza Kweli hata mama wako anajua ninavyolaza
 
Back
Top Bottom