Yep!!! Brother
Hapo hata akikudhulumu, kisheria huwezi kushinda. Omba Mungu awe mstaarabu akulipeNdio, nilifanya TU kwa kumwamini , since alionekana ni inocent!!!
Jamni, Is there any how naweza pata ushauri wa nafanya nini even if ni toolate
Jamni, Is there any how naweza pata ushauri wa nafanya nini even if ni toolate
Hakunaga cha alionekana innocent katika biashara. Ok, na ndinga ulimkabidhi anapush?Ndio, nilifanya TU kwa kumwamini , since alionekana ni inocent!!!
Ni wakili ukinilipa vizuri gari yakau pesa zako zinarudi on the sportJamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,
Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
Nasema hivi nakua jinsi ya kukusaidia kwa usiku moja lakini pesa mbele kama taiJamni, Is there any how naweza pata ushauri wa nafanya nini even if ni toolate
We Wakili Roll No. ngapi? Tuanzie hapo.Ni wakili ukinilipa vizuri gari yakau pesa zako zinarudi on the sport
hakuna wakili hapa!!! kwahiyo gari na pesa zake zitarudi kwenye mchezo???Ni wakili ukinilipa vizuri gari yakau pesa zako zinarudi on the sport
Nililaza Kweli hata mama wako anajua ninavyolazaWe Wakili Roll No. ngapi? Tuanzie hapo.
Na kama we wakili kweli...na doubt competency na integrity yako ktk taaluma ya sheria.
Kingine nxt time jifunze kutofautisha kati ya SPOT na SPORT.
acheni kudhalilisha taaluma nyie vilaza