Wadau, heri ya mwaka mpya?
Naomba msaada wa sheria na kifungu kinachozungumzia mfanyakazi anapokwenda nje ya working site kwa ajili ya masomo au training ambayo pia inauhusiano na kampuni (are those days, paid, unpaid and what about effect on vacation leave?) Naomba copy ya hiyo sheria yenye kifungu hiyo. nimetafuta kwenye ELRA- Tz, 2004 sijaona, OHS Act - Tz, 203 sijaona. Msaada please! Urgently needed!