Shida gani mkuu?Mimi nina damu group 0+ na mke wangu pia ni group 0+ je haweizi mletea shida ktk ujauzito wake?
natamguliza shukrani
Fafanua kidogo huo msingi wa swali!??Swali la msingi sana hili...
Hapo hamna shida mkuu,ingekua tabu kama mkeo angekua na 0-.Mimi nina damu group 0+ na mke wangu pia ni group 0+ je haweizi mletea shida ktk ujauzito wake?
natamguliza shukrani
-o?ila wakuu naona group O linawatu wengi sana coz mi na wanafunz wenzangu kama 10 tulienda pima tukakuta sote tupo kweny group O,
Hapo ondoa shaka mkuu hakuna tatizo lolote linaloweza kutokea.....lkn kua mwangalifu watoto wako wote lazima nao wawe O grp la sivyo hainaga ushemej imehusika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nina damu group 0+ na mke wangu pia ni group 0+ je haweizi mletea shida ktk ujauzito wake?
natamguliza shukrani
HaiweziMimi nina damu group 0+ na mke wangu pia ni group 0+ je haweizi mletea shida ktk ujauzito wake?
natamguliza shukrani
Kwani kuna shida gani hapa mkuu?Hapo hamna shida mkuu,ingekua tabu kama mkeo angekua na 0-.
Mwanamke akiwa na - yeyote hata kama sio O kuna reaction inatokea kwenye damu ya mtoto so kuna uwezekano wa kutoka mimba. Ndo maana mama mjamzito akienda kliniki ya kwanza tu akipata ujauzito lazima apimwe blood group na kama ana negative kuna sindano atachomwa kuzuia hiyo hali. Dawa yake ni sindanoKwani kuna shida gani hapa mkuu?
We vepeeee umeamka auMe Group O + oyoooo
Mlipima na ngoma lakini ?ila wakuu naona group O linawatu wengi sana coz mi na wanafunz wenzangu kama 10 tulienda pima tukakuta sote tupo kweny group O,
Mimi nina damu group 0+ na mke wangu pia ni group 0+ je haweizi mletea shida ktk ujauzito wake?
natamguliza shukrani[/QUOTE
Haina shida mkuu mi mwenyewe ni group o+ na wife pia nae the same group, tuna mtoto mmoja na sasa hivi ni mama kijacho, halafu kushika mimba ni fasta usifanye masihara utabemenda mtoto/watoto