tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
wakuu mimi ni mhitimu wa chuo kikuu. Naweza kuandika vizuri hii lugha, ila shida inakuja kwenye kuongea...ni aibu kwangu na nimekosa kazi kama mbili kwa kushndwa kujieleza ipasavyo. Je inawezekana kujifunza kwa wakati huu? Je nitumie mbinu gani? Naomba mawazo yenu, nahitaji kujifunza kwa gharama yeyote.
Nitafute kuna ticha angu anafundisha kiingereza cha kuongea kwa bei powa ww tu kama upo siliazi nitafute ila kama upo dar
nipm basi namba yako..nipo dar
0788269389