Msaada: kila asubuhi uume wangu unasimama hadi naumia

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
867
Wadau:
Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni nini,
Nisaidieni wakuu
 
kwanza weka picha hapa tuthibitishe halafu hali kama hiyo inawakuta watoto wa darasa la saba kama wewe,itaendelea kisha baadae itapotea ,ikiendelea zaidi muonyeshe na umwambie mama akupeleke hospitali
 
dah... pole dogo ukiwa mkubwa hayo yanaisha!
 
Jamani Mimi sio dogo, Nina miaka 24 na miezi mitano sasa
 
kuna jf doctor mkuu.
 
Aah unazingua mbona na mim ni hvyo hvyo..unataka ilale ili iweje..ni kawaida..
 
Ha ha ha ina maana hujui kuwa hio ni hali ya kawaida kwa wanaume???
 
Bwamdogo hiyo nite hali ya kawaida usijali mm inanitokea huchukua lisaa
 
ndo balehe hiyo

si unaona na nywele za kwapa na sirini nazo zimetoka?
 
Reactions: BAK
Usiwe unaamka asubuhi.. Jitahidi uwe unaamka mchana au usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…