Msaada: kila asubuhi uume wangu unasimama hadi naumia

kuna watu humu madushe yanalala dolo tuu na pia hata kuingiza kwenye papuchi wanakuwa km wanachomekea shati.tafuta manzi au jiunge CHAPUTA
 
Ukisimama upake pilipili ..majibu ndani ya sekunde moja problem solved
 
Wadau:
Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni nini,
Nisaidieni wakuu
Mwanzo wa balehe huambatana na Ndoto nyevu, ni kawaida mkuu ukioa italala tu Vuta muda umri usogee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…