cheki mazingira unayolala kukosa hewa ya kutosha pia ni tatizo,au kama unalala kwa kutumia feni yani pangaboi huwa inakelele flani inayoumiza kichwa pole sana.ila subiri maoni mengine ya kitaalamu zaidi
Tatizo ni kwamba anapolala hapana oxygen ya kutosha. Wala halina uhusiano na kunywa maji asubuhi. Ajitahidi kama anaishi kwenye nyumba zenye gypsum na alminium kiasi cha kwamba hakuna hata tundu la kutolea hewa, basi afanye mpango wa kufungua madirisha usiku akilala. Kuna mmoja hapo juu kasema kuhusu feni. Nakubaliana pia, feni huwa ina tabia ya kuondoa hewa, safi iliyo karibu na wewe, na kuleta yenye impurities. Haishauriwi kulala na feni ikiwa inafanya kazi ni marufuku pia kumuwekea feni mtoto mdogo.Kunywa maji unapoamka! Anza an kiasi kidogo!
Tatizo ni kwamba anapolala hapana oxygen ya kutosha. Wala halina uhusiano na kunywa maji asubuhi. Ajitahidi kama anaishi kwenye nyumba zenye gypsum na alminium kiasi cha kwamba hakuna hata tundu la kutolea hewa, basi afanye mpango wa kufungua madirisha usiku akilala. Kuna mmoja hapo juu kasema kuhusu feni. Nakubaliana pia, feni huwa ina tabia ya kuondoa hewa, safi iliyo karibu na wewe, na kuleta yenye impurities. Haishauriwi kulala na feni ikiwa inafanya kazi ni marufuku pia kumuwekea feni mtoto mdogo.
Unachokisema ni sahihi kabisa. Mimi nina zaidi ya miaka kumi sasa sijawahi kunywa panado kwa ajili ya kutibu kichwa. Matibabu yangu makubwa ni maji. Hata hayo maji ya asubuhi pia kwangu ni routine, lakini huwa hayasaidii pale unapokuwa umeamka na maumivu ya kichwa yatokanayo na kukosa hewa. Utakunywa, lakini utaendelea kuumwa kichwa hadi baadaye mchana baada ya kuwa exposed kwenye oxygen ya kutosha.Ok...Mimi nimepost kulingana na experience yangu. Ila kwa swala la hewa mm huwa siwezi kulala chumba kilichofungwa, lazima niache mlango au dirisha wazi. Kuna kipindi pia iwepo nimepigwa sana na jua, hasa katika kusubiri daladala au hata kwa kukaa dirishani, kichwa kinagonga hata siku mbili na tiba ni maji kwa wingi!.
Habari wakuu,
Sijui nina tatizo gani. Kwa muda sasa, nimekua kila siku nikiamka asubuhi kichwa kinaniuma. Naomba msaada kwa anayeelewa hii hali. Asante.