Msaada: Kila nikifanya mapenzi nachanika ukeni

Kwanini asizae? Kwani aliyemuunda mwanadamu hakuweka uchi mkononi ama usoni akaficha kwenye maporomoko ya udzungwa?

we acha kabisa ile ki2 ukiinama waiona kwa nuuma ukilala iko juu ukisimama iko chini haija jificha mkuu labda hujawai kuiona mkuu
 
Nimeshakutana na hii kesi mara kadhaa na mara nyingine husababishwa na kutokufanya mapenzi mara kwa mara hivyo K inakuwa imesinyaa. Cha msingi ni mwenza wako kuwa taratibu na wewe kutumia staili zitakazoruhusu muingiliano rahisi. Kama mna lubricants ni bora kuzitumia na pia maandalizi yawe vizuri na myape muda wa kutosha. Halafu jamaa awe anaenda mdogo mdogo na wewe ndio uwe unamuongoza kama upo fresh aende fasta. Hata pamoja na hayo michubuko midogo huweza kutokea na kuna dawa ya tube (siijui jina) unaweza kupaka na michubuko kupona haraka. Madaktari wanaijua na ukiitumia na kufanya mapenzi mara kwa mara tatizo litaisha.
 
Mkiambiwa msitumie carolite mnakuwa wagumu!!ona sasa mpaka ngozi ya mwili wote ilishalainika.nenda kwa dr. Year.
 
Kwani umejaribu size tofauti tofaut?
 
Au unajisafisha sana kwa vitu vya kemikali
Kuna siku nilijifuta na taulo gumu baada ya kuoga nilipata michubuko wiki nzima maumivu hivyo huwa naogopa kupagusa au kupaka chochote
 
we shorey kuambukizwa moto ni rahisi sana aisee,unapaswa uwe makini sana kwenye suala la ngono
 
Unachanika ama unachubuka?,maana ni vitu viwili tofauti..
 
Pole sana Dada, ushauri wangu chukua hatua nenda hospital kwani kuna madoctor wazuri na wenye heshima zao watakusaidia, pia usiogope kutazamwa kwani usipotazamwa Leo utatazamwa Wakati Wa kujifungua tena na MTU ambaye ukumfilkilia.
Mwisho kuwa makini tena sana humu kunamatapeli wengi
 
hujapata mtu ambae una mfeel
ukipata unaemfeel utakua muda wote unamtamani
na ukiwa unafanya sex acha kuwaza vitu vingine
waza unachofanya, jipe raha
utaona kila kitu kinaenda sawa na unakua huumii
hata sisi wenye nyuchi kavu
hatuna maji kabisa
tunaposex huwa tuna relax
kwahiyo huumii sana na vimaji kidogo vinakuja ukipaka na mafuta
mambo yote yanakua ndani ya box....
 
Nichek private kuna dawa ya kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…