Mkuu pole kwa kuuguza.. Tambua mimba zina mambo mengi lakin binafsi nakushaur umpeleke hospital akaonane na matabibu , usisubir mpaka uje uambiwe. Its too late...Asallam aleykum, ndugu zangu..
Mimi Nina tatizo, na tatizo hili lamsibu Mkewangu, Mkewangu kila apatapo ujauzito ifikapo miezi mitatu na kuendelea huwa anatokwa na damu puani, Leo hii pia hali hiyo imejiridia, naomba msaada kwa yoyote anayefahamu hili tatizo na suluhisho lake anifahamishe.
Natanguliza shukrani
Mkuu kama hujuwi tiba yake ni kukaa kimya kwani mleta mada hajuwi kuwa kuna hospitali? Kama huna jibu la kujibu bora unyamaze ili watu wengine tunao juw atiba tupate kumsaidia mwenzetu sio kuleta ubishi usio na maana samahani kama nimekukwaza.Hospitali ndo unapata majibu ya maana zaidi kuliko humu
IFAHAMU NJIA HII YA KUZUI DAMU KUTOKA PUANIAsallam aleykum, ndugu zangu..