wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
ndugu zangu baada ya kutafiti soko la bamia,nimeamua kufanya kilimo chake,nmepata shamba pembezoni mwa mto maeneo ya dakawa.sasa naomba kujua aina ya mbegu ambayo ni nzuri, magonjwa yanayosumbua bamia pamoja na kiasi cha mavuno kwa ekari moja iliyohudumiwa vizuri,pia nmeelezwa kuw bamia za migongo hazina soko hapa moro lkn Dar es salaam ndio znapendwa,nijuzwe ukweli wa hili.Nitakuwa nikileta mrejesho hapa mara tu project yangu ikianza,natanguliza shukrani