Msaada: Kilimo cha maharage machanga Arusha?

Msaada: Kilimo cha maharage machanga Arusha?

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Habari ndugu zangu wa JamiiForums,

Nilikuwa naomba msaada wa kujua moja mbili tatu ya biashara na ukulima wa maharage machanga, naomba kujua mfano kwa upande wa Arusha nasikia kuna makampuni yanayoingia mkataba na wakulima na kununua hayo maharage, ningependa kuyafahamu.

Mwisho naomba kujuzwa breaf ya hichi killimo
 
Pole Sana mkuu, naona hukuweza kupata response kwa muda. Japo nataka nijitose na Mimi kwenye hii mishe, ninachokijua mpaka sasa kuhusu masoko ya maharage machanga ni baadhi ya kampuni kuingia mkataba na wakulima, ambapo mkulima hulipwa wiki mbili baada ya kuuza mzigo wake. Sijaweza kuwa na taarifa zaidi lakini, ningeshare na wewe mkuu
 
Back
Top Bottom