Wana JF kutokana na ukali wa maisha nimeamua kwa asilimia zote nijikite katika swala zima la kilimo cha matikiti maji.........ndugu zangu wapendwa naomba msaada wapi panafaa kwa kilimo hicho ambako pia naweza nikapat shamba ili nifanye kilimo...naomba msaada sada kama nitapata namba ya simu ya mtu ambae anajihusisha na kilimo hiki nita shukuru sana ...............