Msaada: Kilimo cha ngwara

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Jamani wadau na wataalamu wengine wa kilimo,kilimo cha mpunga sasa kimenichosha kutokana na soko lake bei yake imeshuka wakati garama za uendeshaji zipo juu mno.

NAOMBA USHAURI WA ELIMU YA JUU YA KILIMO CHA NGWARA.

1.AINA YA MBEGU BORA.
2.JE EKA MOJA UNAWEZA PATA GUNIA NGAPI?
3.GARAMA ZAKE ZIPOJE?
4.JE SOKO LAKE NI LA UHAKIKA?
 
Ni aina flani ya maharage ambayo ni chakula kikuu cha wakikuyu.na soko lake ni kubwa na hununuliwa na wakenya sana,gunia lake likishuka bei sana ni laki na ishirini.hulimwa sana Manyara na arusha.
 
Wadau mtupe Taarifa zaidi ya hili zao ! Nimeambiwa kuwa ni zao zuri sana kibiashara .Ila taarifa za namana kilimochake ni haba hata kwenye Mtandao !
 
Mkuu tafuta uzi humu humu kuna jamaa walielezea vzr sn hilo zao na soko lake kwel lipo kenya , babati kuna eneo wanalima hilo zao msimu wa kupanda ni msimu mmoja na dengu kwa ukanda wa babati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aina flani ya maharage ambayo ni chakula kikuu cha wakikuyu.na soko lake ni kubwa na hununuliwa na wakenya sana,gunia lake likishuka bei sana ni laki na ishirini.hulimwa sana Manyara na arusha.
nimesikia eti gunia la debe 6, linaenda mpka laki 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…