Hyo ni infection ya bacteria...hua wanashambulia mizizi so mizizi inashindwa kutafuta chakula so nyanya inakosa chakula na virutubisho na hatimaye hunyauka na kukauka.. bacteria hao wnakuwepo hapo ulipopanda nyanya na ukipanda nyanya inanawiri sana na kuvutia ila zikianza tu matunda ndo unaanza kuona infection na ikishafika hapo huwez tena kufanya treatment coz infection inakua kubwa tyr..hapo inaweza kusambaa shamba zima likanyauka...so inashauriwa ufanye treatment ya mbegu kabla ya kusia...ufanye treatment miche kuanzia inachomoza tu kwenye kitalu na ridomil...na pia kutumia hybrid kwani zinakua na high resistance ya magonjwa hayo...pia wakati wa kusia mbegu pale kwenye kishimo kabla hujaweka mche kunakuaga na dawa unapiga pale inaulinda ule mmea na infection za hao bacteria...pia ndani ya wiki mbili za mwanzo unaendelea kuutreat mmea na madawa kama ridomil...innovex...kwa ninavyojua ukifanya hayo utakua umefanya treatment ya mapema sana kwenye mche hvyo utakua umeukinga na bacteria hao kama furaziam...ila usipofanya hivyo ukija kuona dalili wakati mmea ushaanza kutoa matunda ndo tayari hivyo huwezi kutreat kitu hapo
thats what i know..kama kuna wajuzi zaidi watasema