Msaada kilimo cha ufuta

hmkuwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
361
Reaction score
265
Habari zenu wana JF

Natamani kulima ufuta Ila shida yangu ni kwamba sina utaalamu nao,.

Naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa hili zao.

Asanteni
 
Ushandaa eneo la kubonda?au utapanda kwa matuta?
Ufuta haueleweki, unaweza kukudanganya kuwa upo, kumbe ni mabua tyuuh.

Ni zao la msimu, na uki kuibukia hela nje nje. Muhimu kuwa makini ktk kutia mbolea na kuzuia wadudu wasipukutishe majani haraka.
 
Nimeshaanda eneo tayari Ila silimi kwenye matatu
 
Ushandaa eneo la kubonda?au utapanda kwa matuta?
Ufuta haueleweki, unaweza kukudanganya kuwa upo, kumbe ni mabua tyuuh.

Ni zao la msimu, na uki kuibukia hela nje nje. Muhimu kuwa makini ktk kutia mbolea na kuzuia wadudu wasipukutishe majani haraka.
Mkuu naomba maelekezo hpo kwenye kuweka mbolea na dawa ya wadudu ni ipi?
 
Nakushauri nenda hapo chuo cha kilimo naliendele hapo utapata unachokitaka kasoro ardhi tu
 
1.Fanya uchaguzi sahihi wa mbegu
2.Uchaguzi sahihi wa ardhi
3.Matumizi sahihi ya mbolea na dawa za kuua wadudu na booster kwa ajili ya kupata Maua mengi
4.Kama eneo halina rutuba Sana usisahau kupiga mbolea
5.Hakikisha shamba ni Safi,ufuta unastawi vizuri kwenye shamba lililolimwa na kusafishwa vizuri.

yangu ni hayo,wengine watakula madini mengine zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…