Msaada kimatibabu hali imezidi kuwa mbaya

Mkuu ! Apate dawa za minyoo alafu apige high dose ya vitamin C kama 1000-2000 mg a day.
 
Hahahaha
Mimi ni Goddess Isis..,,ke
 
Useme ukweli ni wewe nikusaidie na dawa kabisa.. Tena bure

Hata Kwa wale nyayo zinazowaka moto...

Kwakua umedanganya umesema uongo kuwa sio we we unasema Rafiki yako... Basi..ugua pole
Njoo pm mkuu
 
Yanii shida ni yako. Halafu. Nikufate mimi PM..

vijana wa siku hizi hamjui kujishusha sana.
Shida yako halafu mimi nikufate Pm
Endeleaa na ugonjwa wako huo... Natumaini 2019 hataiona/hutaiona

nimefatilia sana comment zako...

Amani iwe nawe peponi
 
Weka historia fupi ya huyo jamaa yako bila kuficha chochote... alianzaje anzaje kupata muwasha haswa haswa sehemu hiyo...


Cc: mahondaw
 
Mkuu siyo tu bawasili
Kuna ugonjwa usukumani wanaita madonda ya mgongo,
Sumbawanga wanaita londa ama punku,
Nao una dalili za kuwasha sana utadhani kuna vidudu vinakula,huwa unapelekea hata vidonda njia ya haja,
Makamasi kwe choo,kuuma mgongo sana,
Huu unasumbua sana na bahati mbaya hata ukipima hosptali hawauoni,
Nimeteseka nao sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…