Labda huna ela kila kitu kinakutesa ilimrad tu ufe
Remote hiyo kaka just turn it away mimi continuously mutes the set so nabonyeza volume up halafu naelekea mwingine au nachomoa Betty ya remoteNikiwa home muda huu niijulie dunia hali ghafla nakuta madudu AZAM TV.
WASAFI TV inaonesha na ndo chanel ya kwanza kufunguka na sijailipia.
Nikazima na kuwasha sasa naona inajibonyeza bila mpangilio tena bila hata matumizi ya rimoti.
Shida nini wajuvi nisaidieni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda huna ela kila kitu kinakutesa ilimrad tu ufe