warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Wana jamii forum naombeni msaada,nahitaj kununua kin'gamuz sasa sijajua kipi ni kizur zaidi(exluding dstv),yaan kati ya zuku,easy tv,easy tv,star times,digitek,continental nk,niliuza easy tv nilisikia inasumbua siku iz though niliwah ckia wapo vzur,nisaidien wadau kwa hili.....