Msaada:- King'amuzi kipi kinaonesha ligi ya mabingwa ya CAF?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, natamani mno kuangalia mechi za vilabu vyetu vya Africa hasa katika ligi ya mabingwa, je ni king'amuzi kipi kinaonesha michuano hiyo? Hawa wengine wamejikita mno Ulaya mpaka mashindano mawili ya nchi moja wanaonesha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DSTV nafikir wana hatimiliki kuanzia makundi ila chini ya makundi ata vile visambusi mshenzi vina Access
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…