Msaada:- King'amuzi kipi kinaonesha ligi ya mabingwa ya CAF?

By comparison dstv na azam ni kama kufananisha Kibong'oto village FC na Real M. FC bado kwenye sporting sidhani kama kuna channel itawaweza DSTV historia pia inawabeba alieanza kaanza tu...kama ameshindwa Strive Masiyiwa na Kwese Sports kalala mbele simuoni mjanja wa kumfunika Multi choice tena Africa kwa sasa...labda miaka 10 ijayo
Basi nao wanazingua,mbali epl naona azam wamewafunika dstv kwa mengi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamua kukunua Startimes kwani wanaonesha Copa Del Rey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…