Wakuu ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa matonsesi.Sasa nina nafuu kidogo.Ila kuna tatizo lingine limejitokeza.Nakuwa kama nakabwa koo,koo limekuwa kavu sana na njia yote kuanzia mdomoni mpaka kooni inakuwa na ukakasa kama nimemeza utonvu wa ndizi mbichi.Nateseka jaman.Naombeni msaa wenu jamani.Je ni Tatizo gani hili na tiba yake ni nini?
candidiasis
Mkuu candidiasis ni nini na tiba yake ni nini?Nisaidieni wakuu
wakuu ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa matonsesi.sasa nina nafuu kidogo.ila kuna tatizo lingine limejitokeza.nakuwa kama nakabwa koo,koo limekuwa kavu sana na njia yote kuanzia mdomoni mpaka kooni inakuwa na ukakasa kama nimemeza utonvu wa ndizi mbichi.nateseka jaman.naombeni msaa wenu jamani.je ni tatizo gani hili na tiba yake ni nini?
fungus kingwani, dawa ni:
1. Apple cider vinegar
2. Olive oil
3. Coconut oil
4. Garlic
5. Oregano oil
ukiwa unaendelea na tiba acha kula sukari na carbohydrate
Mkuu candidiasis ni nini na tiba yake ni nini?Nisaidieni wakuu
acha usanii,, muache jamaa aende hospital,, huyo ana acid nyingi tumboni,, my wife alikuwa na tatizo kama la huyo jamaa ,na sasaiv ajambo kabisa,,, gharama niloyotumia km efu sabini,, kumuona specialist elfu 30, dawa elfu 40
ni kweli kabisa. Hata mm nliwahi kupata tatizo km hilo na hospital nikaambiwa ni acid nyingi tumboni.
Na kukaa na njaa sana pia inasabisha.
Ni muhimu kufuata miiko.
usanii! mkeo!! kwa taarifa yako mimi mwenye nilikuwa nalo nikafanya kipimo cha endorscope nikatumia dawa hizo apo na mambo yakawa shwariacha usanii,, muache jamaa aende hospital,, huyo ana acid nyingi tumboni,, my wife alikuwa na tatizo kama la huyo jamaa ,na sasaiv ajambo kabisa,,, gharama niloyotumia km efu sabini,, kumuona specialist elfu 30, dawa elfu 40