Natumaini ulikuwa unamanisha BlackBerry 9860 kwa ushauri tu hiyo simu nafikiri imefika mwisho wa maisha yake imetoka mwaka 2011 ukweli ni kwamba simu hizi zinatengenezwa makusudi ziaribike baada ya muda fulani. Gharama ya kutengeze hiyo simu ni bora ununue mpya. Ni ushauri tu lakini