Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Ni bei ya Hisense ya mtumba😂😂Kama Samsung nch 24 kioo chake ni Tsh 120,000
Je Hisense nch 43 kioo kitakuwa Sh ngapi?
Hiyo Bei ni wapi mkuu? I mean wapi vinapatikana?Kama Samsung nch 24 kioo chake ni Tsh 120,000
Je Hisense nch 43 kioo kitakuwa Sh ngapi?
Mi niko usukumani huku ambako fisi anafungwa HIRIZI kisha wanatumwa kukamata watuHiyo Bei ni wapi mkuu? I mean wapi vinapatikana?
Niko Songea mkuu tv nilinunua kwenye duka la electronic ata nilivyouliza kuhusu kupata kioo kingine wahafahamuUpo Wapi? Tembelea Ofisi Za Hisense Uone Gharama Zake
Bei ya kioo itazid Bei ya TV uamuzi utabaki kwako.Kama Samsung nch 24 kioo chake ni Tsh 120,000
Je Hisense nch 43 kioo kitakuwa Sh ngapi?
Tv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundiBei ya kioo itazid Bei ya TV uamuzi utabaki kwako.
Okay. Bado hujapata nn cha kufanya baada ya kuambiwa Bei ya kioo 400k? Hapo bado gharama za fundi achilia mbali uhakika wa hicho kioo kudumuTv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
Ukweli ndo huo Kuna zingine ni double screen Ila Bei yake imechangamkaHizo tv vioo vyake ni laini balaa wengi sana wamepata shida ya vioo kwenye hizo tv
Mafundi sio wa kuwaamini ni wapigaji nahitaji kupata sehem wanauza vioo kabisa ili nijilizisheOkay. Bado hujapata nn cha kufanya baada ya kuambiwa Bei ya kioo 400k?
Muuzie fundi hio Tv kwa 380kTv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
Kwann viwe lainHizo tv vioo vyake ni laini balaa wengi sana wamepata shida ya vioo kwenye hizo tv
Kioo Bei yake 400kOkay. Bado hujapata nn cha kufanya baada ya kuambiwa Bei ya kioo 400k? Hapo bado gharama za fundi achilia mbali uhakika wa hicho kioo kudumu
JE TV GANI IKIHARIBIA KIOO NI BEI RAHISI, WAKUDA NISAIDIENIHabari zenu Wana JamiiForums,
TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu.
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es salaam.
TV hisence inch 43.
Nilinunua hi-sense Kwa 1.1m baada ya muda ikazingua kioo kuulizia Bei wakasema 750,000 nikataka kuuza scraper fundi akasema ananunua Kwa 50,000 tu. Nikaumga dukani nikachukua TV ya 200,000 tu.Mafundi sio wa kuwaamini ni wapigaji nahitaji kupata sehem wanauza vioo kabisa ili nijilizishe
Hilo swali peleka kwa watengenezaji sasaKwann viwe lain