Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ESR 120 mm/hr bado ni juu sana i.e. zaidi ya mara 10 ya kawaida.inaonyesha kuna inflammation lakini hiki kipimo sio specific, huwa kinatumika kusupport diagnosis. daktari aliyeagiza kifanyike anatakiwa akueleze zaidi.
Kwa kifupi hakiwezi kusema una ugonjwa gani
ni kweli kipo juu sana, lakini hatuwezi sema ana ugonjwa gani, labda atueleze ana shida gani. huenda daktari aliorder ESR ili ajiridhishe na diagnosis yakeLakini ESR 120 mm/hr bado ni juu sana i.e. zaidi ya mara 10 ya kawaida.
How serious it is?? Maelezo zaidi plz nipo njia panda
kuna vipimo vya kufanya kwa kesi kama yako, haswa ni culture and sensitivity ambapo wataotesha sample watakayotoa kwenye jipu ili kujua aina ya bakteria na dawa sahihi ya kumpa pia wanaweza fanya blood culture, ambapo wataotesha damu ili kuona kama kuna bakteria kwenye damu. Vipimo hivi gharama yake ipo juu kidgo na sio kila hospital wanaweza fanya.Hyo hospital wamesema tutoe elfu 50 iliwafanye hyo check up maana wanasema inaweza kuwa na ugonjwa zaidi ya hayo majipu na mba
Umesema anapata majipu na mba..hii ndio inasababisha hiyo ESR kuwa juu, cha muhimu apate matibabu ya hayo majipu na mba, hiyo ESR itashuka.
ESR isikupe presha, sababu hata malaria inapandisha ESR.