Msaada! Kipimo cha ultrasound

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
Unaweza pimwa/fanyiwa kipimo hiki ukiwa umeshakula? au ni kipimo gani ambacho hufanyika ukiwa tu hujala? asanteni kwa muda wenu na ushauri in advance
 
Unaweza pimwa/fanyiwa kipimo hik ukiwa umeshakula???

Au ni kipimo gan ambacho hufanyika ukiwa tu hujala? Asanten kwa muda wenu na ushaur in advance​
Endoscopy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…