Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wapendwa Wakuu habari za mida hii,

Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
 
Ni thread ambazo ziko active na zina wachangiaji wengi ndio zinakua pinned.
 
Back
Top Bottom