egusi stew jamani si mchezo, nilikula kwa wa naija flani hivii achaaaa, hivi bongo hiyo grounded egusi ina patikana wapi watu tukanunue tujipikilishe. mwenye kujua pliiiz.

Ground Egusi:
Chukua mbegu za maboga, zikaushe juani, zikikauka zikaange kama karanga. Bangua maganda ya nje, ponda mbegu laini ya ndani kwenye kinu cha jikoni. Unga wake ndio EGUSI.