Msaada kisheria: Kanisa linatuchezea rafu

Hawakuwa maaskofu walikuwa matapeli tu wamejivika majoho

Poleni sana
 
Unaogopa kulitaja kanisa la wezi? Si useme tuu kama ni KKKT?
 
Basi mkuu, relax wala usiwe na hofu. Yaani wao hapo ndo inabidi wawe na presha. Wewe wataarifu tu kuwa huuzi tena eno lako, umeghairi.
Wewe hapo ndo una POWER wanajaribu kukutisha tu, ila sheria hapo inaku favour wewe.
Tena hakikisha unapaweka busy, kama ni miti unapanda miti yako, au unamwaga hata lori moja la kifusi na mchanga hapo, mara unapeleka mafundi wafanye kama wanaweka setting ya msingi wa kizushi. Hakikisha unapaweka panakua busy busy.
 
Mkuu sikununua ili niuze kwa sasa

Siwezi kuacha kudai haki yangu eti kwasababu kuna mwingine alidai akapunjika

Kama wataamua kunidhulumu ndio maisha ila nitapigania hadi nione mwisho

Naumia sana wachungaji kutufanya mafala
Hasara kwenye maisha hazikwepeki endelea kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…