Mkuu Retired, ni ngumu lakini habari ya Prof. Soyinka kuamua kufuta green card yake ni funzo kubwa sana kwetu.
Pia hii habari nyingine inayo trend ni 'light on a tunnel'. Ukimsoma sana Mwalimu Nyerere anasema kazi ya ukombozi haikuwahi kuwa rahisi na haihitaji nguvu tu bali inahitaji akili na upeo (vision) zaidi! Mbezeni Lema kwa sasa.
View attachment 442090
High court haiwi bind na hukumu ya high court inakuwa bind na Court of appeal judgement
Jambo hilo limenishangaza sana! Hivi unaweza kupata hukumu hiyo tuone ratio decidend ya bulaya ilikuwaje!Nami nilikuwa naamini hivyo. Lakini kilichonishangaza ni ile hukumu ya Court of Appeal kwenye kesi ya uchaguzi Arusha kuwa wapiga kura ambao sio wagombea hawana haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani lakini court of appeal tena ikakataa maamuzi kama hayo kwenye kesi ya Wassira na Bulaya na kuamuru kesi isikilizwe upya kwani wapiga kura wana haki ya kufungua kesi.
Ngoja nijaribu mkuuJambo hilo limenishangaza sana! Hivi unaweza kupata hukumu hiyo tuone ratio decidend ya bulaya ilikuwaje!