Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Ndio nipo dar nilimuagiza. Iringa alienda Mara mojaupo Dar unaagiza laptop Iringa...??? au imetoka kwenu.
Kama una muda nenda kituo cha polisi wakabidhi namba yake.
au komaa kumfuatilia si unamfahamu, hata picha yake moja unayo..!!
au ongea na uongozi wa chuo ili awekewe kizuizi fulani.
Sawa mkuuPole sana ndugu .... Hatua ya kwanza unatakiwa kumtafuta physically ili ujue nini kinaendelea ili kama amekutapeli akamatwe kwa mahojiano. Vilevile tunza Meseji za miamala na maelezo. Halafu jaribu kufatilia usije sema kakutapeli kumbe kapatwa na majanga